Category: Kimataifa
M23 yaendelea kuwepo Walikale licha ya kutangaza kujiondoa
Kundi la waasi wa M23 limeendelea kushikilia mji muhimu wa Walikale, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, licha ya awali kutangaza mpango wa kuondoka ili kutoa nafasi kwa mazungumzo ya amani. Kundi linaloungwa mkono na Rwanda la M23 lilitangaza…
Mashambulizi ya RSF yauwa watu watatu Omdurman
Raia watatu wameuawa Jumapili katika shambulizi la makombora lililofanywa na kikosi cha RSF katika eneo la Omdurman karibu na Khartoum, siku mbili tu baada ya jeshi la Sudan kutwaa tena ikulu ya rais katika mji mkuu huo. Raia watatu wameuawa…
Mahakama Korea Kusini yamrejesha madarakani Han Duck-soo
Mahakama ya Katiba nchini Korea Kusini Jumatatu imetupilia mbali uamuzi wa Bunge wa kumuondoa Waziri Mkuu Han Duck-soo, na kumrudisha rasmi katika wadhifa wake kama kaimu rais. Han alishika nafasi hiyo baada ya Rais Yoon Suk Yeol kuondolewa madarakani kutokana…
Urusi na Ukraine zashambuliana kwa makombora usiku kucha
Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema leo kwamba mifumo yake ya ulinzi wa anga imezidungua droni 47 zilizorushwa na Ukraine katika mashambulizi yaliyolenga miji mitano na ambayo yamewajeruhi watu sita. Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema leo kwamba mifumo yake…
Israel yaishambulia vikali Lebanon
Israel inasema inawashambulia kwa kuwalenga Hezbollah kusini mwa Lebanon baada ya roketi kurushwa kutoka huko kuelekea Israel kwa mara ya kwanza tangu makubaliano ya kusitisha mapigano kuanza kutekelezwa mnamo Novemba. Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alisema alikuwa ameagiza Jeshi…
Kongo iko tayari kwa mkataba na Marekani : Tshisekedi
Rais Felix Tshisekedi amesema nchi yake iko tayari kuingia mkataba wa madini na Marekani kwa mabadilishano ya kupatiwa uwezo wa kujilinda dhidi ya makundi ya wapiganaji mashariki mwa taifa hilo. Akizungumza na kituo cha televisheni cha Fox News, Tshisekedi amesema…