Category: Kimataifa
Bibi harusi aanguka na kufa ghafla ukumbini
Na Isri Mohamed Imezoeleka siku ya harusi ni siku ya furaha, shangwe, nderemo na vifijo hasa kwa maharusi wenyewe, lakini imekuwa tofauti kwa Mr Emile ambaye ameshuhudia mke wake akifariki mbele yake na wageni wakiwa ukumbini kwenye sherehe yao, ikiwa…
Hezbollah yamtangaza Naim Qassem kuwa kiongozi wake mpya
Hezbollah imetangaza kuwa naibu katibu mkuu wa kundi hilo atakuwa mkuu wake mpya. Naim Qassem anachukua nafasi ya kiongozi wa muda mrefu Hassan Nasrallah, ambaye aliuawa katika shambulio la anga la Israel huko Beirut mwezi uliopita. Ni mmoja wa viongozi…
Iran yamnyonga mpinzani raia wa Ujerumani
Iran imemnyonga mpinzani wa Ujerumani na Iran Jamshid Sharmahd, baada ya kukutwa na hatia ya “kuongoza operesheni za kigaidi”, vyombo vya habari vya serikali vinaripoti. Sharmahd alihukumiwa kifo mwaka jana baada ya kushutumiwa kwa kuongoza kundi la wafuasi wa kifalme…
Urusi yashambulia kwa mabomu jengo la kihistoria la Soviet Ukraine
Urusi wamelishambulia jengo inayojulikana kwa wakazi wote wa Kharkiv,” Oleh Syniehubov, gavana wa mkoa wa Kharkiv, aliandika kwenye Telegraph, amesema sakafu kadhaa zimeharibiwa. Jengo la Derzhprom, lililowekwa kwenye orodha “ya majaribio” ya Maeneo ya Urithi wa Dunia wa UNESCO, lilikamilishwa…
Waandishi watatu wa habari wa Lebanon wauawa shambulizi la Israel
Waandishi wa habari watatu wameuawa katika shambulizi la anga la Israel dhidi ya jengo linalojulikana kuwa na wanahabari kusini-mashariki mwa Lebanon, walioshuhudia wameiambia BBC. Shambulio hilo lilitekelezwa kwenye nyumba ya wageni inayotumiwa na waandishi wa habari katika eneo la Hasbaya…
Chad, Jamhuri ya Afrika ya Kati wataka kuunda kikosi mseto cha usalama mpakani
Itifaki hii ilianzishwa na mawaziri wa ulinzi wa nchi hizo mbili baada ya siku nne za tume ya pamoja mjini Bangui, kulingana na chanzo kimoja. Chad na Jamhuri ya Afrika ya Kati, ambazo zinatumia mpaka wa karibu kilomita 1,200, pia…