JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Jela maisha kwa kumkaba mwanafunzi wa darasa la tano

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Singida imemuhukumu mkazi wa Kijiji cha Ighombwe,Tarafa ya Sepuka,wilaya ya Ikungi,Mkoani Singida,Emanueli Musa (27) kutumikia adhabu ya kifungo cha maisha jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka…

Rais Mwinyi : Zanzibar imepiga hatua kubwa kulinda haki za wanawake

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar imepiga hatua kubwa kulinda haki za wanawake kwa kuwa na sera na sheria bora zinazohakikisha usalama, usawa wa kijinsia na kuwepo kwa miji na maeneo…

DC Nyasa awataka wananchi kutambua umuhimu wa lishe bora

-Asema Nyasa bila utapiamlo, udumavu, upungufu wa damu inawezekana -Wajawazito wahimizwa kutumia madini Chuma -Atoa rai kwa Wataalam wa Afya kuzingatia Weledi,ushirikiano kupata Matokeo Na Byarugaba Innocent, Nyasa DC Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe.Peres Magiri ametoa wito kwa wananchi…

Polisi yatoa wito kwa wagombea na wafuasi kuzingatia sheria, kampeni kuanza kesho

Kesho Agosti 28,2025 kama ilivyotangazwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kampeni za wagombea nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani zitaanza rasmi. Jeshi la Polisi Tanzania, lingependa kuwajulisha wananchi na wadau wote kuwa, lipo tayari na limejiandaa vizuri…