JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Rais Samia utakumbukwa kwa Bwawa la Kidunda

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, aliyekuwa Kidunda Wiki moja iliyopita, nimepata fursa ya kutembelea ujenzi wa Bwawa la Kidunda, lililopo mkoani Morogoro. Ujenzi wa Bawawa hili umeanza rasmi mwaka 2023 na unatarajia kukamilika mwaka 2026 kwa gharama ya zaidi ya Sh…

Profesa Mkenda azindua bodi ya TAEC, aitaka kusimamia ufadhili wa Samia Scholarship Extended Program

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amezindua bodi mpya ya Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) ambapo ameitaka kusimamia kwa umakini ufadhili wa masomo ya elimu ya juu ya…

Uingereza yafurahiswa maboresho na Bandari ya Dar, yaipongeza Serikali

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali ya Uingereza imesema imefurahishwa na juhudi zinazofanywa na Serikali ya Tanzania katika uboreshaji wa miundombinu na utoaji wa huduma katika bandari ya Dar es salaam. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada…

Pwani mwamko mkubwa, waomba kuongezewa siku za uandikishaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Wananchi wa mkoa wa Pwani wamejitokeza kwa wingi kwenye vituo vya uandikishaji na uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, hali inayohofiwa kwamba baadhi ya watu huenda wasifikiwe kutokana na mwamko mkubwa ulioonekana. Idadi…

EACOP, CPP yatoa fursa kwa wajasiriamali Handeni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Handeni Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika ya Mashariki (EACOP) kwa kushirikiana na mkandarasi Mkuu wa ujenzi wa bomba hilo, kampuni ya China Petroleum Pipeline (CPP) umewataka wajasiriamali/wafanyabiashara katika Wilaya ya Handeni mkoani Tanga…

Serikali yaandaa mkakati kuongeza uzalishaji wa ngano

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA), imeandaa mkakati wa miaka 10 wa kuongeza uzalishaji wa ngano. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa COPRA, Irene Mlola wakati akifungua kikao…