JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mbunge Cherehani : Wananchi jitokezeni Uchaguzi Serikali za Mitaa

Na Mathias Canal, JamhuriMedia, Ushetu-Kahama Wananchi wametakiwa kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2024. Mbunge wa Jimbo la Ushetu mkoani Shinyanga Emmanuel Cherehani ameyasema hayo tarehe jana wakati akizungumza na wananchi wa…

Ummy: Asilimia 60 ya wananchi wanapata huduma za afya ndani ya Km 5

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya katika Kipindi cha mwaka 2023 imejitahidi kwa kusogeza huduma kwa wananchi kwani asilimia 60 ya wananchi wanapata huduma ndani ya kilometa 5 hivyo mwaka 2023 vituo vya afya…

Mbwa anayefugwa kwa ulinzi aishambulia familia na kusababisha madhara

Usiku wa kuamkia Januari 8, 2024 majira ya saa nne usiku familia ya Nicholaus Kunju ilishambuliwa na mbwa na kuisababishia madhara kwenye sehemu mbalimbali za miili yao. Kwa mujibu wa mtoa taarifa walioshambuliwa ni mke wake pamoja na watoto. Tukio…

Ulega amsimamisha kazi Afisa Mfawidhi Kigoma

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amemuagiza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Agnes Meena kumsimamisha kazi Afisa Mfawidhi anayeshughulikia ubora wa samaki kituo cha Kigoma, Bw. Frank Kabitina kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za umma. Waziri…

Dk Biteko ashuhudia utiaji saini mikataba miwili ya kihistoria ya gesi asilia

📌 Ni wa mauziano ya Gesi Asilia na ujenzi wa miundombinu midogo ya LNG 📌 Kuwezesha upatikanaji wa Gesi Asilia katika maeneo yote nchini 📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafuatilia kwa karibu miradi ya Nishati 📌 Nchi kuwa na nishati…