Category: MCHANGANYIKO
Mbunge Mavunde akabidhi matofali 41,000, saruji tani 102 Dodoma Jiji
▪️Ni kuunga mkono miradi inayoibuliwa na wananchi kwa kata zote 41 ▪️Jiji la Dodoma latenga Bilioni 6 kuunga mkono miradi inayoibuliwa na wananchi ▪️Vifaa kulenga kuboresha sekta ya Afya na Elimu ▪️Rais Samia apongezwa kwa maendeleo makubwa Dodoma Jiji Na…
CRDB na Taasisi ya Aga Khan waingia makubaliano kurahisisha ulipaji wa ada
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BENKI ya CRDB imeingia rasmi kati8ka makubaliano ya ushirikiano na Taasisi ya Aga Khan, makubaliano yanayolenga kurahisisha ulipaji wa ada na malipo mengine kwa shule zinazoendeshwa na taasisi hiyo hapa nchini. Makubaliano hayo…
Wiki ya Azaki kufanyika Juni 2- 6 Arusha
Na Lookman Miraji Asasi isiyo ya kiserikali inayojishughulisha na masuala ya Misingi ya Jamii ya Kiraia (FCS) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa mashirika ya kimataifa imetangaza ujio wa wiki ya azaki inayotarajiwa kufanyika jijini Arusha mapema mwezi Juni. Wiki…
Benki ya CRDB yatoa elimu ya fedha kwa wajasiriamali
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIKA juhudi za kuwainua wajasiriamali nchini, Benki ya CRDB kupitia programu yake ya IMBEJU, kwa kushirikiana na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, imeendelea kutoa elimu ya fedha kwa wajasiriamali ili kuwajengea…
JWTZ yashiriki zaidi ya operesheni sita za Uokoaji Ndani na Nje ya Nchi kwa miaka minne – Dk Stergomena Tax
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limehusika katika zaidi ya shughuli sita kubwa za uokoaji ndani na nje ya nchi, ikiwa ni sehemu…
Mbunge apongeza juhudi za Serikali katika kukuza kilimo cha Mkonge
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma MBUNGE wa Viti Maalum, Mwanaisha Ulenge (CCM) ameiomba Serikali kuhakikisha fedha zilizotengwa kufanikisha mradi wa kituo atamizi cha uzalishaji wa bidhaa za mkonge kinachowahusisha vijana, wanawake na watu wenye ulemavu zinafika kwa wakati kwa walengwa….