Category: MCHANGANYIKO
DCEA yateketeza mashamba ya bangi ekari 157 Kondoa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kondoa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kondoa pamoja na wananchi wa Kata ya Haubi, wamefanikisha operesheni maalum ya kutokomeza kilimo…
Tanzania yajipanga kuja na Mahakama ndani ya SGR
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita Tanzania imejipanga kuja na huduma za mahakama kwa kutumia mabehewa ya Treni ya Kisasa (SGR) na huduma ya mahakama kwa njia ya ndege ili kuboresha usikilizaji kesi na utoaji haki kwa wakati. Ofisa Mtendaji Mkuu…
Mwinyi: Mkopo wa bil 240/- kujenga skuli 23 za ghorofa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wa mkopo wa Shilingi Bilioni 240 kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Benki ya CRDB kwa ajili ya ujenzi wa…
Tanzania yanadi fursa za uwekezaji mnyororo madini muhimu London
Na Mwandishi Wetu Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake kama kitovu cha maendeleo ya Sekta ya Madini barani Afrika, kwa kuelezea mikakati madhubuti ya kuendeleza madini muhimu na mkakati yanayopatikana nchini. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo amesema hayo…
Jitihada za utunzaji wa mazingira Tanzania, Norway zawekwa bayana
Na Jovina Massano TANZANIA na Norway yabainisha mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi na namna bora ya uhifadhi wa mazingira ikiwa ni pamoja na kukabiliana na janga la taka za plastiki. Mikakati hiyo imejadiliwa jijini Oslona Waziri wa…