Category: MCHANGANYIKO
Dk Mwigulu : Serikali kununua matrekta 10,000
Na Mwandishi Wetu WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imepanga kununua matrekta 10,000 na kuanzisha vituo jumuishi 1,000 vya huduma za zana za kilimo katika ngazi ya Kata, hatua itakayoongeza tija, kupunguza gharama na kuwapa wakulima muda zaidi wa…
WMA yafunga mtambo wa kisasa unaohakiki dira za maji Dodoma
Na Veronica Simba – WMA Wakala wa Vipimo (WMA) umesimika mtambo wa kisasa wa kidijitali wa kuhakiki dira za maji katika jengo la makao yake makuu lililopo jijini Dodoma. Meneja Uhakiki wa Vipimo na Viwango wa WMA Makao Makuu, Magesa…
Rais Samia kufanya mazungumzo na viongozi mbalimbali Dubai
Leo Jumanne, Februari 3, 2026, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ameanza ziara ya kikazi hapa Dubai, UAE kwa kufanya mazungumzo na viongozi na wadau wa kimataifa. Katika ratiba ya leo, Rais Samia anakutana…
Katambi akutana na balozi wa Uingereza
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amekutana na Balozi wa Uingereza nchini,Marianne Young ambae aliambatana na Mkuu wa Usalama na Sheria,Alex Beck pamoja na Mkuu wa Ofisi ya Dodoma,Godfrida Magubo. Katika kikao hicho mambo mbalimbali yalijadiliwa chini ya…





