Category: MCHANGANYIKO
Tanzania haitakuwa na haja ya kuagiza bidhaa za ujenzi kutoka nje – Jafo
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selamani Jafo ameeleza kuwa ,ndani ya muda mfupi, Tanzania haitakuwa na haja ya kuagiza bidhaa mbalimbali za ujenzi kutoka nje ya nchi kama mabati, vioo, nondo, na saruji. Haya…
Rais Samia aipa neema miradi ya kuzalisha umeme Iringa
Atoa zaidi ya bilioni 15 mradi wa Mwenga Hydro Ltd Mwenga Hydro Ltd yaunganisha wateja 8,000 huduma ya umeme Mufindi – Iringa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa kiasi cha shilingi bilioni 15…
Jamii yaaswa kuwasaidia watoto wenye changamoto
Na WMJJWM JAMII imeaswa kuwasaidia Watoto wenye changamoto mbalimbali wakiwemo Watoto yatima na wanaoishi na kufanya kazi mtaani ili waweze kupata Malezi Bora na mahitaji kama Watoto wengine.Wito huo umetolewa Julai 30, 2025 mkoani Dar Es Salaam na Katibu Mkuu…
Rais Samia : Tanzania kuwa miongoni mwa nchi 10 zinazozalisha Urani kwa wingi duniani
* Azindua Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Urani Namtumbo- Ruvuma *Mradi kuzalisha tani laki 3 za Urani kwa mwaka *Serikali inamiliki hisa asilimia 20 ya mradi Namtumbo – Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu…
Wakili Mpanju aupongeza Mfuko wa ABBOT Fund
Na WMJJWM- Dodoma NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju amepongeza uongozi wa Mfuko wa Abbot Fund kwa kuendelea kushirikiana na Serikali katika kuboresha maisha ya watoto wenye mahitaji maalum….
Mataifa ya kigeni yamiminika kujifunza TADB ilivyofanikiwa kufikia maelfu ya wakulima
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BENKI ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), imefanikiwa kutoa mikopo ya shilingi trilioni 1.129 kwa wakulima, wafugaji na wavuvi kwa miaka kumi tangu kuanzishwa kwake ambapo wanufaika wamefikia 1,953,162. Hayo yalisemwa jana jijini Dar…





