Category: MCHANGANYIKO
Chalamila awaalika wakazi Dar kujitokeza uzinduzi wa Kituo cha biashara
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewaalika Watanzania na wakazi wa jiji hilo kujitokeza kwa wingi kushiriki kwenye hafla ya uzinduzi wa Kituo Kikubwa cha Biashara na Usafirishaji (EACLC), itakayofanyika…
Sinzo Mgeja ashukuru kuaminiwa na CCM
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kisarawe SINZO Khamis Mgeja, mtoto wa Mwanasiasa maarufu nchini, Khamis Mgeja ni mmoja wa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), walioteuliwa na Kamati Kuu (CC), kuwania Ubunge wa Viti Maalum kupitia (Umoja wa Wanawake (UWT), kundi…
Tanzania inaendelea kupiga hatua muhimu katika kujenga uchumi wake – Rais Dk Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania inaendelea kupiga hatua muhimu katika safari yake ya kujenga uchumi wa kisasa unaotegemea maarifa, teknolojia na rasilimali za ndani. Taarifa iliyotolewa na Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano…
Profesa Mwandosya kinara wa kupambana na saratani – Dk Biteko
Dkt. Biteko azindua Kitabu cha Living with Cancer cha Prof. Mark Mwandosya Watanzania watakiwa kujenga utamaduni wa kupima afya Serikali yaimarisha huduma za uchunguzi na matibabu ya saratani Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri…
Polepole, Mpina, Makamba… misjudged President Samia
By Deodatus Balile, JamhuriMedia, Mwanza Today, July 30th, 2025, we’ve published a special edition in our weekly investigative newspaper – JAMHURI —featuring aspirants endorsed by the ruling party, Chama Cha Mapinduzi (CCM). Some prominent names have been left out, such…
Elimu na uokozi kuzuia kuzama majini, SMZ, WHO NA UNICEF waunganisha nguvu Z’bar
Na Fauzia Mussa, JamhuriMedia, Zanzibar KAMISHENI ya kukabiliana maafa Zanzibar imehimizwa kuwa na Mipango madhubuti ya kupambana na majanga yatokanayo na kuzama majini kwa kutoa elimu kwa jamii, kuimarisha mifumo ya uokozi, na kuhimiza usalama wa maji. Kauli hiyo imetolewa…





