JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Serikali inaboresha miundombinu ya umeme Kibiti kuondoa changamoto ya umeme – Kapinga

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inatekeleza miradi mbalimbali ya matengenezo na ukarabati wa njia za kusafirisha na kusambaza umeme katika Wilaya ya Kibiti ili kuondokana na tatizo la kukatika kwa umeme…

Shule za Tusiime kufundisha program za kompyuta kuanzia shule ya awali

Na Mwandishi Wetu, JamhiriMedia, Dar es Salaam KATIKA jitihada za kuendana na mtaala mpya wa elimu uliozinduliwa hivi karibuni na Serikali, unaojumuisha Mahili 11 yanayolenga kuendeleza ujuzi na stadi kwa wanafunzi, shule za Tusiime zimechagua program za Kompyuta kama kipaumbele…

Bejeti ya matumizi, Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia yaomba kuidhinishiwa trilioni 2.4

Ili kuwezesha utekelezaji wa malengo yaliyoanishwa kwa mwaka wa fedha 2025/26, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Taasisi zake imeomba Bunge kuidhinisha makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2025/2026 yenye jumla ya shilingi Trilioni 2.439 Kati…

Wachimbaji Geita wampongeza Rais Samia kwa mafanikio makubwa ya sekta ya madini

▪️Wachimbaji Madini wapongeza upatikanaji wa Leseni na mazingira rafiki ya biashara ▪️Waziri Mavunde aainisha mafanikio 16 ya Rais Samia kwenye sekta ya Madini ▪️Aagiza uanzishwaji wa Soko la Dhahabu Katoro ▪️RC Shigela aja na mikakati mizito ya kupaisha sekta ya…

Waziri Lukuvi: Maandalizi ya mazishi ya hayati Cleopa Msuya yamekamilika

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu), William Lukuvi, amethibitisha kuwa maandalizi ya mazishi ya Hayati Cleopa David Msuya, aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu wa Tanzania, yamekamilika. Waziri Lukuvi alitoa taarifa hiyo…