Category: MCHANGANYIKO
Waziri Kombo ataka mikakati endelevu ya kisekta kuimarisha mifumo ya chakula kimataifa
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amesisitiza umuhimu wa kuchukua hatua madhubuti na za pamoja katika kuimarisha mifumo ya chakula ili kuhakikisha ushiriki endelevu wa Tanzania katika ajenda za maendeleo ya…
CRDB yapongezwa kwa kuwajengea uwezo wajasiriamali kupitia mafunzo ya kidijitali
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIBU Tawala wa Wilaya ya Ilala, Charangwa Makwiro, ameipongeza Benki ya CRDB kwa juhudi zake katika kuwawezesha wajasiriamali kupitia mafunzo ya teknolojia na matumizi ya mitandao ya kijamii katika kuendesha biashara. Akizungumza kwa…
Hii hapa ratiba ya uteuzi wa wagombea, kampeni na uchaguzi mkuu
Ratiba ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 imetoka ambapo kuanzia tarehe 09-27 Agosti itakuwa ni zoezi la kuchukua fomu za uteuzi kugombea kiti cha Urais na Makamu wa Rais. Tarehe 14-27 Agosti zitakuwa ni tarehe za kuchukua fomu za uteuzi…
Tunaweza kuzuia asilimia 80 ya vifo nchini tukibadili mtindo wa maisha – Dk Biteko
📌 Asisitiza kuhusu mazoezi ya mwili ili kujikinga na maradhi yasiyoambukiza 📌 Apongeza NBC Dodoma Marathon kuiunga mkono Serikali mapambano dhidi ya Saratani ya Shingo ya kizazi na kusomesha Wataalam wa Afya 📌 Apongeza Kampeni ya MTU NI AFYA inayohamasisha…
Majimbo mapya nane yaongezwa kwenye Uchaguzi Mkuu 2025
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza ongezeko la majimbo mapya nane (8) ya uchaguzi kwa Tanzania Bara, na kufanya jumla ya majimbo ya uchaguzi kufikia 272, ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge…
Mradi ws Sequip wajenga shule sita mpya Iramba – DC Mwenda
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Serikali kupitia mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP) imetumia Bilioni 6.361 kujenga shule mpya sita za sekondari, shule sita zimefanyiwa ujenzi wa upanuzi wa miundombinu ya kidato cha 5 na 6, Ujenzi…





