Category: MCHANGANYIKO
Tanzania, Urusi kuimarisha sekta ya nishati
TANZANIA NA URUSI KUIMARISHA SEKTA YA NISHATI 📌 Dkt. Biteko awakaribisha Warusi kuwekeza katika nishati safi ya kupikia 📌 Urusi kuisaidia Tanzania katika afya, usalama mtandao na ulinzi wa miundombinu 📌 Kampuni kubwa ya nishati duniani INTER RAO Export yaonesha…
TBA yatakiwa kuwaelimisha watumishi wa umma kuhusu huduma zake kupitia maonesho ya utumishi
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) umetakiwa kutumia ipasavyo fursa ya Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma ili kuwaelimisha na kuwafikia kwa karibu watumishi wa umma kuhusu huduma mbalimbali inazotoa, hususan katika sekta ya makazi na ujenzi…
Fursa za Madini Zipo Kidijitali
Watanzania Watakiwa Kuzichangamkia Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Sekta ya madini nchini Tanzania inaendelea kushamiri kwa kasi, ikifungua milango ya ajira, uwekezaji na maendeleo kwa wananchi na Taifa kwa ujumla. Serikali kupitia Tume ya Madini imeendelea kuweka mazingira wezeshi kwa…
Asilimia 20 ya wahitimu CBE wajiajiri wenyewe
Waliosoma CBE wampongeza Profesa Edda Lwoga kwa mageuzi makubwa Kongamano la fursa za ajira CBE laleta neema kwa wanafunzi Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam UTAFITI uliofanywa na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kuhusu wahitimu wake umeonyesha kuwa…
Watuhumiwa 349 wakamatwa Pwani, wahalifu sugu 31
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limewakamata watuhumiwa 349, wakiwemo wahalifu sugu 31 ambao kwa muda mrefu walikuwa mafichoni. Aidha baadhi yao waliwahi kufungwa jela kwa makosa mbalimbali, ikiwemo unyang’anyi wa kutumia silaha (kama mapanga),…