JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

TCRA:Sensa ya mwaka huu itaonyesha shughuli mbalimbali za kijamii

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya mawalisiano Tanzania (TCRA),Dkt Jabir Bakari amesema kwamba Sensa ya mwaka huu itaonesha shughuli za biashara ambazo awali zilikuwa hazijulikani na Mamlaka ya Mawasiliano,TCRA. Ametoa kauli hiyo jana alipokuwa akizungumza katika kikao cha…

Japan yatoa dola bilioni 30 kusaidia nchi za Afrika

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia SERIKALI ya Japan imetangaza kutoa kiasi cha Dola za Marekani bilioni 30 katika kipindi cha miaka mitatu (2022 – 2025) kwa Nchi za Bara la Afrika ili kuziwezesha kutekeleza programu na miradi ya maendeleo itakayoleta mageuzi ya…

Mzee Kusila atakumbukwa kwa mengi

Waziri wa Nchi Ofisi ya waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu George Simbachawene amesema Mzee William Kusila alipenda kuona viongozi wanazingatia miiko, na kuishi kwa kuwa mfano mwema kwa jamii. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya waziri Mkuu…

Watoto wanne wafariki kwa kuungua moto uliowashwa na mganga wa kienyeji

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tabora JESHI la Polisi linamshikilia mganga wa kienyeji anayetuhumiwa kuwasha moto kisha kusababisha watoto wanne wa familia moja kufariki huku saba wakilazwa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo limetokea usiku…