Category: MCHANGANYIKO
Chalamila amkabidhi mjane Alice Haule hati ya nyumba
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemkabidhi hati ya umiliki wa nyumba Mjane wa Marehemu Justus Rugaibura, Alice Haule, baada ya Tume maalum ya Serikali kubaini kuwa yeye ndiye mmiliki…
Mchengerwa : Kizazi cha leo kitashuhudia historia mpya ya taifa
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Rufiji kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mohammed Nchebgerwa, amesema kuwa kizazi cha leo kinakwenda kushuhudia historia mpya ya taifa, akibainisha kuwa taifa limewahi kushuhudia Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwa Rais wa Tanganyika, na sasa kizazi…
Bibi wa miaka 120 amuombea dua Rais Samia
Mkazi wa Mtaa wa Msufini Kata ya Kibaha Mjini mkoani Pwani, Asha Madamde, maarufu Bibi Hatibu mwenye miaka 120 ,amesisitiza kushiriki uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, huku akimuombea dua mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Rais Samia Suluhu…
Serikali imetoa bil. 424. 6/- utekelezaji miradi ya TANROADS Rukwa – Eng.Mwanga
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rukwa Katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya shilingi bilioni 424.6 kwa ajili ya kutekeleza…
Mwili wa aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya wazikwa nyumbani kwao Bondo
Waziri Mkuu wa zamani Raila Odinga amezikwa nyumbani kwao huko Kang’o ka Jaramogi eneo la Bondo, Kaunti ya Siaya. Mwili wa Raila ulipigiwa mizinga 17 ya risasi kumpatia heshima kulingana na wadhfa aliokuwa nao katika sherehe ya Jeshi la Ulinzi…





