JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Polisi yakana kuhusika na ajali iliyoua binti wa miaka 20 Kongowe

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwan JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani limekanusha kuhusika na tukio la ajali ya kugonga na kusababisha kifo cha Pendo Mugisa Mashauri (20), kilichotokea katika eneo la Kongowe, wilayani Kibaha. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani,…

Meya Kibaha- Hakuna mtendaji atakayesalia kwa kuchochea migogoro kwa wananchi

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMesia, Kibaha MEYA wa Manispaa ya Kibaha, Dkt. Mawazo Nicas, ametoa onyo kwa baadhi ya watendaji wanaotekeleza majukumu yao kwa mazoea, akisema tabia hiyo inatia doa Manispaa na kuchochea kero kwa wananchi. Aidha, Manispaa hiyo imetoa maelekezo…

Meya Kibaha kuchimba visima vinne kupunguza kero ya maji Pangani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Kidimu, Kata ya Pangani, Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha wanakabiliwa na uhaba wa maji safi na salama hali inayowalazimu kutumia maji ya mtoni, madimbwi na kununua maji kwa wananchi…

Huduma za malezi ya kambo zimeongezeka

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imezitaka familia zenye uhitaji wa kutoa huduma ya malezi ya kambo na kuasili kuwasilisha maombi yao kwa kamishna wa ustawi wa jamii kupitia…

Balozi Dk Migiro afanya mazungumzo na Balozi wa China Tanzania

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, leo Jumatatu, Desemba 22, 2025, amefanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Chen Mingjian, katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba,…

Dk Natu: Tanzania, UNICEF kuendeleza ushirikiano

Na. Joseph Mahumi, WF, Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-Maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Watoto (UNICEF) anayehusika na Programu, Bi. Patricia Safi Lombo,…