JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mkutano Mkuu ARSO waanza

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar MKUTANO Mkuu wa 31 wa Shirika la Viwango la Afrika (ARSO) umeanza leo katika Hoteli ya Golden Tulip iliyoko Zanzibar, ukivuta wajumbe kutoka kila kona ya Afrika. Tukio hili, lililosimamiwa na Showtime, limeonyesha urari mzuri…

Rais Samia ameweka alama kwa watumishi wa Magereza Arusha

📌Nishati safi ya kupikia ni endelevu 📌Yaelezwa ni salama na mkombozi wa mazingira Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameacha alama mkoani Arusha kwa kugawa mitungi ya gesi 528 na majiko yake kwa watumishi…

Malalamiko 461 yawasilishwa EWURA kwa miaka miwili

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesema katika kipindi cha miaka miwili, yaani 2023/24 na 2024/25, imesajili jumla ya malalamiko 461. Imefafanua kuwa, kati ya hayo, malalamiko 167 (asilimia…

Mavunde atimiza ndoto iliyomtesa kwa Miaka 15

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Katika kilele cha safari ya ndoto ya muda mrefu, Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini ambaye pia ni Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ameweka historia kwa kuzindua rasmi jengo la kupumzikia ndugu wa wagonjwa katika Hospitali ya…

Serikali yawataka wabunifu Majengo, Wakadiriaji Majenzi kuhakikisha jamii inawatambua na kuwatumia

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imewataka Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi nchini kuhakikisha jamii inawatambua na kuwatumia katika masuala ya majenzi ili waweze kuwa na makazi bora Pia imetoa maagizo manne kwa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi…