JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Rais Samia aondoka nchini kushiriki mkutano wa 39 wa wakuu wa nchi wa Umoja wa Afrika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameondoka nchini leo tarehe 12 Februari 2026 kuelekea Addis Ababa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia, kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi…

Burkina faso kujifunza mageuzi ya usimamizi na uendeshaji sekta ya madini

Na Mwandishi Wetu, Dodoma TANZANIA imeendelea kuimarisha na kuthibitisha nafasi yake kama kitovu cha maarifa na uzoefu katika usimamizi na uendeshaji wa Sekta ya Madini barani Afrika, baada ya kupokea Ujumbe wa kitaalamu kutoka Burkina Faso uliokuja kujifunza mifumo na…

Umoja wa Ulaya kushirikiana na Tanzania kwenye Mnyororo wa Thamani wa Madini

Na Mwandishi Wetu Umoja wa Ulaya (EU) umeonesha nia ya kuendelea kushirikiana na Tanzania katika mnyororo mzima wa thamani wa madini, ikiwemo ujenzi wa uwezo kwa wataalam wa madini, mafunzo ya ufundi stadi, teknolojia za kisasa, na utunzaji wa data…

Masauni atoa rai kwa wabunge kupinga upotoshaji kuhusu muungano

Na; Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni ametoa rai kwa wabunge kupinga na kusahihisha upotoshaji wa taarifa kuhusu Muungano, hususan kupitia mikutano ya hadhara na mitandao…

Prof. Mkenda : Wanawake na wasichana katika sayansi ni nyenzo ya maendeleo ya taifa kiuchumi

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesisitiza kuwa ushiriki wa Wanawake na Wasichana katika sayansi ni nyenzo muhimu ya maendeleo ya Taifa kiuchumi, na kwamba Serikali inaendelea kuwekeza ili kuongeza wataalam katika nyanja hiyo….