Category: MCHANGANYIKO
Elimu ugonjwa wa Ebola yatolewa Funguni sekondari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pangani Walimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Funguni ya wilayani Pangani mkoani Tanga wamenufaika na elimu kuhusiana na ugonjwa wa Ebola. Elimu hiyo imetolewa Mei 22, 2026, na Jackline Mjema ambaye ni Afisa Afya kutoka…
Makaa ya mawe Ruvuma yafungua masoko ya Afrika na Asia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ruvuma Mkoa wa Ruvuma umeendelea kujizolea umaarufu katika sekta ya madini baada ya makaa ya mawe yanayochimbwa katika wilaya za Mbinga, Songea na Nyasa kufungua masoko katika nchi mbalimbali za Afrika na Asia, huku zaidi ya…
Ridhiwan Kikwete aongoza ujumbe wa Tanzania mkutano wa EAC
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete, jijini Arusha ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Mawaziri kutoka Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Mkutano huo ni hatua…
Baraza la Mawaziri EAC laridhia mapendekezo ya Bajeti ya Jumuiya
Mkutano Maalumu wa 60 wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeridhia mapendekezo ya bajeti ya Sekretarieti ya Jumuiya pamoja na taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027, katika kikao kilichofanyika Mei 22, 2026 katika Makao Makuu…
Wauguzi, wakunga wahimizwa utendaji wa mabadiliko, kulinda utu wa magonjwa
Na Hassan Kimweri, WAF – Dodoma Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya anayeshughulikia Dawa na Vifaa Tiba, Bw. Emmanuel Tayari, amewataka Viongozi wa huduma za afya nchini hususani Wauguzi na Wakunga kuleta mabadiliko ya kweli kwa kutoa huduma zinazozingatia…





