Category: MCHANGANYIKO
Serikali yatoa vitabu kwa shule za mkondo wa amali bure
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania Dkt. Aneth Komba amesema, Serikali imetoa vitabu vya masomo ya Elimu ya Amali bure kwa shule zote za umma na binafsi ili kuongeza hamasa katika ufundishaji na ujifunzaji wa masomo hayo yatayosaidia kukabiliana…
Dk Mwigulu aagiza mikakati madhubuti kulinda viwanda vya ndani
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka Taasisi za udhibiti za Serikali kuweka kipaumbele katika kulinda viwanda vya ndani na biashara badala ya kuwa kikwazo katika kufikia mafanikio. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amesema kuwa haitakuwa rahisi kulinda…
PPRA : Zaidi ya trilioni 5 zimetengwa kwa makundi maalum kupitia zabuni za Serikali
Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imewahamasisha Watanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki fursa za zabuni za serikali kupitia mfumo wa NeST, ikisisitiza kuwa zaidi ya shilingi trilioni tano zimetengwa mahsusi kwa ajili ya makundi maalum yakiwemo vijana, wanawake,…
Chalamila awataka madiwani kuzitazama jicho la pili hospitali binafsi kama sehemu yao
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa mkoa wa Dar e salaam Albet Chalamila amewataka madiwani na viongozi mbalimbali wanapo kwenda kwenye mabaraza yao wawe wanaingiza hospital binafsi kama Hospital ya Shifaa ili iwe sehemuyao. Kauli hiyo imetolewa…
Rais Samia awasilia Ethiopia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Bole, Jijini Addis Ababa Ethiopia, tarehe 12 Februari, 2026 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Kawaida wa Wakuu wa…
Siku 100 za Rais Samia zaleta neema Igunga
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora SIKU 100 baada ya kuingia madarakani katika awamu ya pili ya uongozi wake, Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameleta neema kwa wakazi wa Mji wa Igunga Mkoani hapa kwa kuwawezesha kupata huduma ya maji kwa…





