Category: MCHANGANYIKO
RITA yapokea madai 248 kutoka kwa wadai mbalimbali wa kampuni ya Pride
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imepokea madai 248 kutoka kwa wadau na taasisi mbalimbali kwa iliyokuwa kampuni ya kukopesha fedha ya Pride Tanzania ili waweze kuchakata na kubaini uhalisia wa madai…
Mradi wa Sequip waendelea kuboresha elimu ya sekondari Mtwara
Na OWM – TAMISEMI,Mtwara Mkoa wa Mtwara umeendelea kupiga hatua katika kuboresha Sekta ya Elimu kufuatia utekelezaji wa Mradi wa Kuimarisha Elimu ya Sekondari (SEQUIP), unaosimamiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi…
Dkt. Mataragio: Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali wanaoficha mafuta
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI imetoa onyo kali kwa wafanyabiashara wanaojihusisha na vitendo vya kuficha mafuta kwa lengo la kuyauza kwa bei ya juu baadaye, ikisisitiza kuwa haitasita kuchukua hatua kali kwa watakaobainika kuvuruga utaratibu wa soko….
Makaburi zaidi ya 3,000 yahamishwa kupisha mradi wa biashara za machinga Bukoba
…………………………………………….. Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera imekamilisha zoezi la kuhamisha makaburi zaidi ya elfu tatu kutoka eneo la Kishenge kwenda Kata ya Buhembe, ikiwa ni maandalizi ya kupisha ujenzi wa jengo la kitega uchumi kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo maarufu…
Baraza jipya la wafanyakazi laagizwa kuzingatia vipaumbele vya ofisi
Na OWM- KAM – Dodoma Baraza jipya la Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano limeagizwa kuzingatia misingi ya mahusiano mazuri mahali pa kazi, uwajibikaji na uadilifu ili kuongeza ufanisi na ustawi kazini. Akizindua Baraza hilo…
Kikwete ateuliwa kuwa mwakilishi ngazi ya juu wa Mwenyekiti wa Kamisheni AU
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC), Mahmoud Ali Youssouf, amemteua Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kuwa Mwakilishi wa Ngazi ya Juu wa Mwenyekiti wa AUC katika eneo la Pembe ya Afrika na Bahari ya Shamu….





