Category: MCHANGANYIKO
Prof. Janabi miongoni mwa wagombea watano kumrithi Ndugulile WHO
Mmoja wa wataalamu wakubwa wa afya nchini Tanzania, Profesa Mohamed Janabi, ametangazwa rasmi kuwania nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Kanda ya Afrika. Prof. Janabi, ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili…
Waziri Kikwete aitaka Bodi ya Wadhamini NSSF kuzingatia miongozo
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa nchi, ofisi ya Waziri Mkuu ,Kazi, vijana, ajira na watu wenye ulemavu, Mhe: Ridhiwani Kikwete ameitaka bodi ya wadhamini ya mfuko wa taifa wa uhifadhi jamii nchini NSSF kusimamia mpango mkakati…
Watanzania waombwa kuchangamkia fursa za masomo India
Na Lookman Miraji, JamahuriMedia, Dar es Salaam Ubalozi wa India nchini Tanzania, hivi karibuni umetangaza mpango wa ufadhili wa masomo wa (India-Africa Maitri Scholarship Scheme) chini ya baraza la uhusiano wa kitamaduni la India (ICCR). Fursa hizo zimeendelea kutangazwa kwa…
Zaidi ya leseni 4,000 kutolewa Mbogwe
ZAIDI ya leseni 4,000 zipo katika utaratibu wa kutolewa katika maeneo manne ya Mkoa wa Kimadini Mbogwe mkoani Geita, huku wazawa na wawekezaji kutoka nje wakitakiwa kuchangamkia fursa zilizopo mkoani humo. Akizungumza katika mahojiano, Afisa Madini Mkazi wa Mbogwe, Mhandisi…
Tanzania, Barbados kuimarisha ushirikiano
๐ Dkt. Biteko afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Barbados ๐ Wakubaliana kuwekeza katika Ushirikiano Sekta ya Utalii na Maji ๐ Nishati Safi ya Kupikia, M300 kivutio cha mazungumzo Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri…
Mkenda: Tutaendelea kuimarisha ushirikiano sekta ya nguo na mavazi
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI imesema itaendelea kuimarisha ushirikiano kati yao, viwanda na wabunifu ili kufanikisha maendeleo katika sekta ya nguo na mavazi. Hayo yameelezwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, katika Kongamano…