Category: MCHANGANYIKO
EWURA yajidhatiti kutoa Huduma Bora kwa Umma katika Wiki ya Utumishi wa Umma
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Katika kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2025, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesisitiza dhamira yake ya kutoa huduma bora, zenye kuzingatia weledi, uwazi, uwajibikaji na matumizi bora ya teknolojia kwa…
Newta kuleta mageuzi sekta ya ujenzi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kampuni tanzu ya Huaxin Group, Maweni Limestone (MLL-Tanzania), imepiga hatua kubwa kibiashara kwa kuzindua bidhaa mpya ya saruji ijulikanayo kama ‘Newta’ inayotarajiwa kuboresha sekta ya ujenzi nchini.⁸ Haya yanajiri wakati miradi mingi ya…
Rais Samia afungua kiwanda cha kuchakata pamba Maswa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Kiwanda cha kuchakata pamba cha Shree Rajendra Agro Industries Limited kilichopo Maswa mkoani Simiyu tarehe 18 Juni, 2025.
Umoja wa Afrika waridhishwa maandalizi uchaguzi Tanzania
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amekutana na Misheni Maalum ya Umoja wa Afrika ya Kutathmini Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, na kuahidi kuwa uchaguzi huo utafanyika kwa haki, uhuru na amani. Misheni hiyo ya tathmini kabla ya uchaguzi (Pre-election…
Wizara ya Fedha yatoa elimu ya usimamizi wa mnyororo wa ugavi kwa wahariri wa vyombo vya habari
Josephine Majura na Joseph Mahumi, WF, Morogoro Serikali kupitia Wizara ya Fedha, imefanya mafunzo kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya usimamizi wa mnyororo wa ugavi katika sekta ya umma. Akizungumza wakati akifungua…





