JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

MCT yatoa mwongozo mpya kwa vyombo vya habari kuelekea Uchaguzi Mkuu

Na Zulfa Mfinanga JamhuriMedia, Arusha Katika kuelekea kipindi nyeti cha uchaguzi Mkuu nchini, Baraza la Habari Tanzania (MCT) limetoa mwongozo muhimu kwa wanahabari, vyombo vya habari, taasisi za kiraia, vyuo vya uandishi wa habari, na makundi mengine likisisitiza utii wa…

Dotto Bahemu amechukua fomu ya kugombea ubunge Ngara

KutokaNgara Mkuu wa vipindi Clouds TV ambaye pia ni Muasisi na Mratibu wa programu ya #Kurasa365ZaMama @dottobahemu_ leo amewasili katika ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya Ngara na kuchukua fomu kwa ajili ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama…

Majaliwa : Nimelitumikia Jimbo la Ruangwa miaka 15 inatosha, asanteni

WAZIRI MKUU, na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa leo Julai 2, 2025 ametangaza rasmi kutokugombea tena ubunge wa jimbo la Ruangwa baada ya kulitumikia jimbo hilo kwa miaka 15. Akizungumza na wajumbe wa kamati ya Siasa ya Mkoa…

…Wabunge ‘mabubu’ hawa hapa

*Takwimu zawaonyesha ambao kwa miaka mitano hawajawahi kuzungumza lolote bungeni *Yaani hawakutoa hoja, kuchangia hoja, kuuliza swali la msingi wala kuuliza swali la nyongeza Na Dennsi Luambano , JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakati wabunge wakijipambanua kuwa ni wawakilishi wa wananchi…

Wanawake wanne, wanaume 12 wajitosa kumvaa Koka Jimbo la Kibaha Mjini

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha MWENYEKITI wa Shirikisho la Watu wenye Ulemavu (SHIVYAWATA) Mkoa wa Pwani Tatu Kondo amechukua fomu ya Udiwani Vitimaalum Kibaha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tatu amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Jumuiya ya Umoja…