Category: MCHANGANYIKO
TEA Yafungua milango ya elimu bora Pemba
PEMBA — Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Bw. Khamis Abdulla Said, ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kwa kuendelea kufadhili miradi ya maendeleo ya elimu Unguja…
Uwekezaji unaofanywa na Serikali katika afya ya msingi ndio msingi wa afya kwa wote – Prof. Shemdoe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Serikali imesisitiza kuwa inaendea kuwekeza katika ujenzi wa miundombinu na ununuzi wa vifaa tiba katika ngazi ya Afya ya Msingi, ikiwa ni hatua muhimu ya kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma bora za afya kwa wakati….
TMDA yanasa shehena ya dawa zisizosajiliwa JNIA
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba nchini (TMDA) imefanikiwa kunasa shehena mbili kubwa za dawa na vifaa tiba zisizosajiliwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Terminal 3, zenye thamani…
Salome: Ndejembi, tunaomba uendelee kuwa mlezi wa Wizara ya Nishati
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amemshukuru Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, kwa uongozi, malezi na ushirikiano alioutoa katika kipindi cha zaidi ya miezi kumi walichofanya kazi pamoja katika Wizara ya Nishati….





