JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Kliniki ya Viwango Yarahisisha Usajili wa Bidhaa kwa Wafanyabiashara Kariakoo na Mwenge

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kusogeza huduma na elimu kuhusu viwango, ubora na usalama wa bidhaa karibu na wananchi kupitia Kliniki ya Viwango, hatua inayolenga kurahisisha upatikanaji wa huduma hizo na kuwawezesha wafanyabiashara…

Aweso Cup, jukwa la kukuza vipaji na uwekezaji Pangani

Na Dk Reuben Lumbagala Michezo ni sekta muhimu inayotoa ajira kwa vijana wengi duniani. Kutokana na hilo, mipango madhubuti huwekwa ili kuhakikisha vijana wanapata ajira kupitia michezo na kuchangia maendeleo ya nchi. Tanzania si kisiwa. Kwa namna michezo ilivyobadili hali…

Daraja la Chigongwe laondoa kero ya usafiri kwa wananchi Dodoma

*Wananchi watakiwa kulinda daraja‎‎Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma‎‎Wananchi wa maeneo ya Chigongwe, Ngambala na Nguji kata ya Chigongwe wilayani Dodoma wameondokana na changamoto ya kukatika kwa mawasiliano wakati wa mvua baada ya kukamilika kwa ujenzi wa daraja la Chigongwe lenye…

Ofisi zinazotembea za TRA zinavyorahisisha huduma kwa wananchi

Na Dk Reubeni Lumbagala, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatekeleza kwa vitendo mkakati wake wa kuwahudumia wananchi kwa kuhakikisha wanawapatia huduma bora na kwa urahisi kule walipo. Katika kutekeleza hilo, Februari 25, 2026, Waziri wa Fedha,…

Matatani kwa mauaji ya mkewe, kisa wivu wa mapenzi

Na Israel Mwaisaka, JamhuriMedia, Rukwa‎‎JESHI la Polisi mkoani Rukwa linamshikilia Maiko Sosolo Kazikulima (35), mkazi wa Kijiji Cha Mashete kata ya Mashete wilayani Nkasi kwa kosa la kumuua mkewe  Victoria Mputa  (32) kwa kumpiga na rungu kichwani na kusambaratisha ubongo…

TEA Yafungua milango ya elimu bora Pemba

PEMBA — Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Bw. Khamis Abdulla Said, ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kwa kuendelea kufadhili miradi ya maendeleo ya elimu Unguja…