JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Ukanda Maalum wa Benjamin Mkapa utaendelea kuwa tanuru la fursa na kiuchumi kwa vijana

*Nanauka asifu,apongeza Juhudi za Serikali kwa uwekezaji *Atoa rai kwa vijana kushiriki kikamilifu kwenye uzalishaji viwandani. Na Innocent Byarugaba -ORMV Hivi karibuni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana Mhe.Joel Arthur Nanauka amefanya ziara rasmi kujionea utekelezaji wa…

TRA yaimarisha ushirikiano na wadau katika kukuza maadili

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanya Kikao Kazi cha Kwanza cha Jukwaa la Ushauri la Wadau wa TRA kuhusu Maadili, kinachofanyika mkoani Morogoro, kwa lengo la kuimarisha ushirikiano na wadau katika kukuza maadili katika usimamizi…

NMB yaingia mbio za mbuzi, vijana zaidi ya 130 kunufaika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam NMB Bank imejiunga kwa mara ya kwanza kuwa mdhamini wa Mbio za Mbuzi za mwaka 2026, zinazolenga kukusanya Sh milioni 200 kwa ajili ya kusaidia vijana 150 kujiunga na vyuo vikuu na mafunzo…

Taka tani 689, 144 huzalishwa kila mwezi, Serikali kuchukua hatua

Na Atley Kuni, WAF – Morogoro SERIKALI imezitaka mamlaka za miji, wataalamu, sekta binafsi na wananchi kuongeza juhudi katika usafi wa mazingira na udhibiti wa taka, baada ya kubainika kuwa Tanzania inazalisha jumla ya tani 689,144 za taka ngumu kila…

Mhe. Luswetula awasili Kenya kushiriki Mkutano wa Ufadhili Sekta ya Afya

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Laurent Luswetula (Mb), akizungumza na wajumbe kutoka Tanzania watakaoshiriki Jukwaa la Mazungumzo ya Ngazi za Juu la Mawaziri wa Fedha kuhusu kuimarisha uwekezaji wa pamoja katika Sekta ya Afya, alipowasili jijini Nairobi, Kenya. ******************* Na….