JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Salome awasili Songwe kwa uzinduzi wa mradi wa umeme

Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amewasili wilayani Songwe, mkoani Songwe, kwa ajili ya uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti 220 kutoka Iganjo mkoani Mbeya hadi Saza mkoani Songwe, pamoja na…

Tanzania, Marekani kuendeleza Ushirikiano katika Sekta za Maendeleo

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Laurent Luswetula (Mb) akisalimiana na Naibu Katibu wa Hazina ya Marekani anayeshughulikia Masuala ya Kimataifa, Bi. Erin Browne, mjini Nairobi, Kenya, kando ya Jukwaa la Mazungumzo ya Ngazi za Juu la Mawaziri wa Fedha kuhusu…

Naibu Waziri wa Afya atoa elimu kwa mama wa mapacha watatu

Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi, ametoa elimu kwa mama wa mapacha watatu, Maridhia Miraji, kuhusu namna bora ya kuwahudumia watoto hao ili waweze kukua vizuri, ikiwemo kuzingatia usafi, lishe na kinga dhidi ya maambukizi. Dkt. Samizi amemuelekeza mama…

Kitali : Ushirikiano ni muhimu katika mageuzi ya kidijitali

OWM-TAMISEMI, Arusha Mkurugenzi wa Idara ya TEHAMA Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Bw. Erick Kitali, amesema mafanikio ya mageuzi ya kidijitali nchini yanahitaji ushirikiano wa taasisi mbalimbali, uongozi wenye maono na kuwashirikisha…

Balozi Maulida awasilisha hati za utambulisho kwa Sultan nchini Oman

Balozi wa Tanzania nchini Oman, Mheshimiwa Maulida Hassan amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Sultan, Mtukufu Haitham bin Tariq Al Said. Tukio hilo lililofanyika katika Kasri la Al Hosni mjini Salalah limeakisi uhusiano wa karibu na wa kihistoria uliopo kati ya…