Category: MCHANGANYIKO
Tunapaswa kujenga ukanda wa SADC usio na rushwa – Majaliwa
Asisitiza kuendelea kusimamiwa kwa Itifaki ya SADC dhidi ya Rushwa. Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa wa Jumuiya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kuendelea kusimamia kikamilifu…
Wananchi wakaribishwa banda la Wizara ya Nishati Nanenane Dodoma
📌 Kufahamu fursa na miradi inayoendelea kutekelezwa Wizara ya Nishati imeendelea kukaribisha wananchi kutembelea Banda la Wizara ya Nishati katika Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima (NANENANE) yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma. Fredrick Marwa, Mjiolojia kutoka Wizara ya Nishati…
Mkutano wa 45 wa wakuu wa nchi wa SADC waanza Madagascar na kikao cha kujadili mpango wa maendeleo
Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza Agosti 04, 2025 jijini Antananarivo, Madagascar na Kikao cha Wataalamu cha Maafisa Waandamizi cha kupitia Utekelezaji wa Mpango Mkakati Elekezi wa Maendeleo wa…
Rostam Aziz amshutumu vikali Polepole, asema hana mchango wowote CCM
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Aziz, ameibuka hadharani na kumshutumu vikali aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba Hamfrey Polepole ambaye hivi karibuni alitangaza kujiuzulu wadhifa wake wa kidiplomasia na kuwa mkosoaji mkubwa wa Serikali…





