JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Article 19 kushirikiana na JOWUTA kusaidia wanahabari nchini

Na Mwandishi Wetu,Nairobi Shirika la kimataifa la Article 19, Afrika ya Mashariki, limeahidi kushirikiana na chama cha wafanyakazi katika vyombo vya habari Tanzania(JOWUTA) kusaidia kuwajengea uwezo wanahabari katika masuala ya utetezi wa sheria za habari, haki za wanahabari na ukatili…

Waziri Kombo ashiriki maadhimisho ya Siku ya Taifa ya Uturuki

Na Mwandishi Maalum Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameungana na Ubalozi wa Jamhuri ya Uturuki nchini katika hafla ya kuadhimisha Miaka 102 ya Kuundwa kwa Jamhuri ya Uturuki iliyofanyika Oktoba…

Tanganyika yanufaika na bilioni 558 za miradi ya maendeleo

Mgombea ubunge wa Jimbo la Tanganyika, mkoani Katavi, Selemani Moshi Kakoso, amesema kuwa Wilaya ya Tanganyika imenufaika kwa kiasi kikubwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika kipindi cha miaka mitano iliyopita chini ya uongozi wa mgombea urais wa Chama…

Kamati za urasimishaji makazi zatakiwa kushirikiana na viongozi wa mitaa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Arusha Katika jitihada za kuongeza kasi ya umilikishaji ardhi nchini, Mratibu wa Program ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK) Bw. Elia kamihanda amewataka wawakilishi wa wananchi kwenye zoezi la urasimishaji makazi katika kata ya Muriet mkoani Arusha…

Wafanyakazi sekta binafsi neema yawashukia

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar es Salaam Serikali imetangaza kuanzia Januari 2026 Kima cha Chini cha Mshahara kitaanzia niTsh 358,322 kutoka Tsh 275,060 Ikiwa ni Ongezeko la asilimia 33.4 kwa Watumishi Sekta binafsi Agizo hilo limetolewa leo Oktoba 17,2025 Jijini Dar es…