Category: MCHANGANYIKO
KUFUTWA NANENANE 2021… Fursa ya kurejea misingi ya kuasisiwa kwake
ARUSHA Na Thomas Laiser Februari 10, 2021, Waziri wa Kilimo, Profesa Adolf Mkenda, alitangaza kufutwa maonyesho ya kilimo, maarufu kama Nanenane, ambayo yamekuwa yakifanyika kila mwaka. Lengo la maonyesho hayo ni kutoa fursa kwa wakulima kujifunza mbinu za uzalishaji, kuwakutanisha…
Hujuma?
*Mwezi mmoja tu baada ya Rais kutembelea Kariakoo, soko lawaka moto *Ni nembo ya biashara Tanzania, Mashariki na Kusini mwa Afrika *Alama ya kihistoria tangu ukoloni wa Mjerumani, Mwingereza hadi Uhuru *Ofisa Ilala asema: ‘Nyaraka muhimu zipo salama, nyingine zipo…
Kifungo cha Zuma hakijaathiri sarafu
JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI Baadhi ya wataalamu wa uchumi walitabiri kuwa huenda thamani ya sarafu ya Afrika Kusini ikaathirika kwa kiasi kikubwa baada ya kiongozi wake wa zamani, Jacob Zuma, kujisalimisha polisi na kuanza kutumikia kifungo chake cha miezi 15 gerezani….
Wimbi jipya la corona majanga kwa Japan
TOKYO, JAPAN Japan imetangaza hatua za tahadhari baada ya kuibuka wimbi jingine la maambukizi ya virusi vya corona. Nchi hiyo imetangaza kutenga kiasi cha yen trilioni moja (dola bilioni 9.1 za Marekai) kukabiliana na wimbi hilo. Hatua hiyo ya serikali…
Bandari ya Bagamoyo itumike kumuenzi JPM
BAGAMOYO Na Mwandishi Wetu Kwa kiasi kikubwa nguzo za uchumi wa Kenya, mbali na utalii, ni kupakana kwa taifa hilo na Bahari ya Hindi na kuifanya Bandari ya Mombasa kuwa lango kuu la biashara kimataifa. Miezi michache iliyopita, Rais Uhuru…
La Stendi ya Magufuli Makalla umekosea
Na Joe Beda Rupia Amos Gabriel Makalla. Jina hili si geni kwa wengi. Huyu si mgeni katika nyanja za uongozi. Wala si mgeni hata kidogo katika siasa. Kwa miaka mingi tu sasa amekuwa akisikika, kwanza katika viunga vya Ofisi Ndogo…




