Category: MCHANGANYIKO
Rostam Aziz: Sijatoka mbinguni, tunalo jukumu la kuwasaidia Watanzania kujifunza ujuzi wa biashara
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mfanyabiashara mashuhuri wa Kitanzania, Rostam Aziz, ameibua mjadala muhimu kuhusu uwezeshaji wa wafanyabiashara wadogo kwa kutoa wito wa kuanzishwa kwa semina mikoani ili kuwafundisha Watanzania jinsi ya kuendesha biashara kwa mafanikio, kupata mikopo,…
Korea Kusini: Maafisa wakuu wa kijeshi wapigwa marufuku kuondoka nchini
Wizara ya ulinzi ya Korea Kusini imewasimamisha kazi kamanda wa Kikosi Maalum Kwak Jong-keun, kamanda wa Ulinzi wa Ikulu Lee Jin-woo na kamanda mkuu wa ujasusi Yeo In-hyeong kwa kuhusika katika kutekeleza agizo la sheria ya kijeshi Jumanne usiku. Waendesha…
Wakandarasi wazembe, wanaochelewesha miradi wabanwe -RC Kunenge
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ameitaka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Pwani kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wakandarasi wanaokiuka mikataba ya ujenzi kwa kuchelewesha miradi. Kunenge alitoa agizo hilo ,wakati…
Madaktari wa Tanzania wahitimisha kambi tiba Comoro kwa ufanisi mkubwa
Na Mwandishi Wetu MADAKTARI tari wa Tanzania wamerejea nchini baada ya kuhitimisha Kambi tiba nchini Comoro kwa kutoa huduma kwa wagonjwa 2,770 na kufanya upasuaji kwa wagonjwa saba. Kwenye kambi hiyo ya siku saba wameweza kubaini wagonjwa takriban 269 wanahitaji…
Wakazi 359, 577 Kaliua wapata maji safi na salama
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Kaliua WAKAZI 359,577 wanaoishi katika vitongoji, vijiji na kata mbalimbali Wilayani Kaliua Mkoani Tabora wamenufaika na miradi ya maji iliyotekelezwa na serikali kupitia Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA). Hayo yamebainishwa jana na…
Wakulima washauriwa kupima udongo kabla ya kuanza kilimo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Katika kuadhimisha Siku ya Udongo Duniani, Idara ya Sayansi za Udongo na Jiolojia ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Wanaagronomia Tanzania (Tanzania Agronomy Society – TAS) na Taasisi…