JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

TBA yawataka wadaiwa sugu kulipa madeni yao kabla ya Septemba 30,2025

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMediaDar es Salaam WAKALA wa Majengo TBA imewataka Wapangaji wote wa nyumba za kuishi,Biashara,pamoja na wale wanaoishi kwenye Maeneo yao ambao wana madeni ya Kodi na malimbikizo ya nyuma kulipa kabla ya Septemba 30,2025 kwani baada ya muda…

Pinda: Tutashinda kwa kishindo, ataka umoja

Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media, Uvinza Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda ambaye ni mratibu wa kampeni wa chama hicho mikoa ya Kigoma, Rukwa na Katavi, amewataka wananchi wa Kigoma kutokubali watu wanaotishia amani ya nchi kuwalaghai. Pinda ametoa kauli hiyo…

Kishindo cha Samia mkoani Tabora

*Atangaza neema ujenzi wa taa 2,500, madaraja*Akumbushia historia ya Mwalimu Nyerere Na Kulwa Karedia,Jamhuri Media, Tabora Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),amehitimisha kampeni zake mkoani Tabora kwa kishindo. Akizungumza na maelfu ya wakazi wa mkoa wa Tabora katika mkutano…

TAKUKURU Pwani yarejesha milioni 1.3 kwa wananchi Nyakahamba

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriPwani Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Pwani imerejesha kiasi cha shilingi 1,376,250 kwa wananchi wa Kitongoji cha Nyakahamba, kata ya Kerege, wilayani Bagamoyo, waliotozwa kinyume cha utaratibu na Mwenyekiti wa Kitongoji kwa…

PMM wafurahia fursa ya Oman, utachochea maendeleo

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Usafirishaji ya PMM, Dk Judith Mhina Spendi, amesema kuwa kuwasili kwa wageni kutoka Oman kwenda kwenye ofisi yao ya ni fursa ya kukuza uchumi wao na taifa kwa…

Dk Biteko ahaidi neema zaidi Bukombe miaka mitano ijayo

📌 Ataja miradi lukuki iliyotekelezwa Bukombe 📌 Oktoba 29 Katome kumpa kura zote Rais Samia Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukombe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Doto Mashaka Biteko amesema endapo wananchi wa Jimbo hilo watamchagua tena kuwa mbunge…