Category: MCHANGANYIKO
Bilioni 3 zatumika kukamilisha ujenzi wa hospitali Bagamoyo
Na Lookman Miraji. Mkoa wa pwani licha ya kuwa na maboresho makubwa katika suala zima la miundombinu na huduma nyingine za kijamii, bado mkoa huo unakabiliwa na uhaba wa huduma mbalimbali za kijamii. Kupitia hospitali inayojengwa katika maeneo ya Kiromo…
Sekta ya Madini yachangia asilimia 10.1 Pato la Taifa
Rais Samia apongezwa kwa mageuzi makubwa ya sekta ya madini Wizara yafikia lengo kabla ya mwaka 2025 *Mavunde awashukuru watendaji, watumishi na wadau * NA Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Dodoma Wizara ya Madini imetangaza kuwa Sekta ya Madini hapa nchini imepiga…
Makamu wa Rais afungua mkutano wa utalii wa vyakula
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa wadau wa utalii wa vyakula kuwekeza zaidi katika kuandika vitabu vya vyakula vya Kiafrika na machapisho ya kuandaa mapishi ili kuongeza ujuzi na kupunguza…
Dk Biteko awataka Watanzania kutogawanyika wakati wa uchaguzi mkuu
📌 Asema Serikali ya Rais Samia itahakikisha miradi ya maendeleo inagusa wananchi 📌 Aelezea upekee wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar 📌 Asema Rais Samia anasema na kutenda Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri…