Category: MCHANGANYIKO
Wassira atembelea kaburi la baba wa Taifa
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wassira ametembelea kaburi la Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Butiama, leo Februari 3, 2025 akiwa ziarani mkoani Mara ambapo pia amezungumza na wazee wa Butiama.
Mahakama ya Afrika yasema ni wakati wa Bara la Afrika kudai fidia
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Rais wa Jamhuri ya Cape Verde, José Maria Neves, amesema nchi za Afrika zinaweza kuongoza mabadiliko ya maisha yao ya baadaye kwa kuondokana na utegemezi wa ukoloni mamboleo kwa kudai fidia iliyotokana na dhuluma za…
Rais Samia ataka Majaji kutokuwa Miungu watu na badala yake watoe haki bila upendeleo
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK.Samia suluhu Hassan, amesema Utekekezaji wa Dira ya Mwaka 2020/2025 ina mabadiliko makubwa ikiwemo katika Sekta ya utoaji haki ambapo jumla ya Mashauri 271 yalisajiliwa kupitia mtandao huku mashahidi waliopo…
Rais Samia mgeni rasmi maadhimisho ya miaka 48 ya CCM
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA.Amos Makallaamesema Chama Cha Mapinduzi (CCM)kikiwa kinatarajia kuadhimisha miaka 48 tangu kuanzishwa kwake kinatarajia kuwatambulisha Rasmi wagombea wake kwa wanachama katika nafasi ya ngazi ya Urais na…





