Category: MCHANGANYIKO
Dk. Nchimbi arithi mikoba ya Chongolo
Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ,imemteua Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM ambaye ameshika nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM,Daniel Chongolo aliyejiuzuru nafasi hiyo Novemba mwaka jana. Kamati Kuu imemteua Emmanuel…
Watuhumiwa wa uhalifu 533 wahukumiwa jela
Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi-Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa mwaka 2023 jumla ya watuhumiwa 533 walihukumiwa Kwenda jela kwa makosa mbalimbali ikiwemo ubakaji na ulawiti huku matukio ya uhalifu yakitajwa kupungua kwa asilimia 12. Akitoa…
Rais Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM Zanzibar
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 15 Januari, 2024 Mjini Unguja Zanzibar.
Meneja TANROAD Ruvuma afariki ghafla wakati akishiriki mbio za Km 5
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROAD) Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Mlima Ngaile amefariki dunia leo asubuhi wakati akishiriki mbio za Wiloles Foundation Marathon 2024 yenye lengo la kuchangia matibabu ya watoto waliozaliwa kabla ya muda…
Ziara ya Dk Biteko mkoani Mtwara yachangia mitambo iliyosimama kuanza kuzalisha umeme
📌Kituo cha Afya Msimbati chaanza kujengwa 📌Wananchi Songosongo nao hawajasahaulika 📌RC Mtwara amshukuru Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas Ahmed ameeleza kuwa, ziara aliyofanya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Biteko…
TANESCO yaimarisha hali ya upatikanaji umeme Tunduru, Nanyumbu na Masasi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tunduru Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limejidhatiti katika kuhakikisha huduma ya umeme inaimarika kwa wilaya za Tunduru, Nanyumbu na Masasi. Amesema hayo Mkurungenzi Mtendaji wa TANESCO Gissima Nyamo-Hanga tarehe 10 Januari 2024 wakati alipotembelea Kituo kipya cha…





