JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Kongamano la 10 la Jotoardhi Afrika kufanyika Oktoba 21 Dar

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa mgeni rasmi Kongamano la 10 la Jotoardhi Afrika (ARGeo-C10) litakalofanyika nchini Tanzania kuanzia tarehe 21-27 Oktoba, 2024 huku washiriki zaidi ya…

Serikali yawataka wataalam wa maabara za binadamu kulinda taaluma yao

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Serikali imewataka Wataalam wa Maabara za binadamu nchini kuilinda taaluma yao kwa kuwa ina mchango mkubwa katika utoaji wa huduma za afya kwa jamii. Naibu Waziri Mkuu wa Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema hayo…

TBA kuwaondoa wadaiwa sugu 648 wanaodaiwa bilioni 14.8/- kuanzia Oktoba 7, mwaka huu

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia Dar es Salaam WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) wanatarajia kuendesha Operesheni ya kuwaondoa wadaiwa sugu 648 katika mikoa ya Arusha, Mwanza, Dodoma na Mara Oktoba 7, 2024. Pia imeelezwa kwamba licha ya kuondolewa wadaiwa hao katika nyumba…

Bei ya mafuta yapanda baada ya shambulizi la Iran

BEI ya mafuta ilipanda baada ya Iran kurusha makombora ya balistiki dhidi ya Israel na kuzua hofu ya mzozo mkubwa katika eneo la Mashariki ya Kati ambao unaweza kuvuruga usambazaji wa mafuta. Wakati wa biashara Jumanne, kigezo hicho kilipanda kwa…

Wataalamu wa maabara toeni majibu sahihi kuwasaidia Watanzania – Dk Biteko

๐Ÿ“Œ Serikali yafanya mageuzi makubwa sekta ya afya nchini ๐Ÿ“Œ Wataalam wa maabara za binadamu wasisitizwa kulinda taaluma yao ๐Ÿ“ŒTanzania ya tatu Barani Afrika kwa huduma Blbora za mabara Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu…

Tumieni mifumo rasmi kuhifadhi fedha – Pinda

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mlele Mbuge wa Jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi mhe. Geophrey Pinda amewataka wananchi kuhifadhi fedha zao katika mifumo rasmi ya kifedha kwa ajili ya usalama. Pinda amesema hayo…