JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Tumieni mifumo rasmi kuhifadhi fedha – Pinda

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mlele Mbuge wa Jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi mhe. Geophrey Pinda amewataka wananchi kuhifadhi fedha zao katika mifumo rasmi ya kifedha kwa ajili ya usalama. Pinda amesema hayo…

Ajenda ya utunzaji mazingira iwe ya kudumu – Waziri Chana

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Sumbawanga Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezitaka Serikali za Vijiji kuweka ajenda ya uhifadhi wa mazingira na kudhibiti moto iwe za kudumu kwa manufaa ya kizazi cha sasa na baadae. Ameyasema…

Ifikapo 2030 korosho zote zitabanguliwa nchini – Bashe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, amesema ujenzi wa Kongani ya Viwanda Maranje Newala mkoani Mtwara unalenga kuhakikisha ifikapo 2030, korosho zote zinabanguliwa nchini. Amesema, lengo ni kuhakikisha wakulima hawauzi korosho ghafi nje ya nchi. Bashe…

NSSF yapiga hatua kubwa kiutendaji, yawataka Watanzania kujiunga na mfuko isiyo rasmi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), umesema unatarajia kuandikisha wanachama milioni 21 kutoka sekta isiyo rasmi, huku umri wa kuchangia ukiwa ni kuanzia miaka 15 hadi 70 na kiwango kikianzia Sh….

DC Malinyi ahimiza wananchi Uchaguzi Serikali za Mitaa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Malinyi MKUU wa Wilaya ya Malinyi, Sebastian Waryuba amehamasisha wananchi kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kukimbia mbio za kilomita tano. Waryuba aliongoza wananchi na watumishi katika wilaya hiyo kwenye mbio hizo alizozipa jina…

BRELA kuendesha kampeni ya utoaji elimu kuhusu urasimishwaji kwa wafanyabiashara

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Baraza la Usajili wa Makampuni nchini (BRELA) imelenga kuendelea kutoa elimu kwa wafanyabiashara juu ya urasimishwaji. Akizungumza katika maonyesho ya kimataifa ya viwanda yanayoendelea katika viwanja vya sabasaba vilivyoko temeke, Dar es Salaam….