Category: MCHANGANYIKO
Makusanyo ya TRA yapaa
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia,Dar es Salaam Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanikiwa kuvuka lengo na kukusanyash.trioni 7.79 , kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha Julai hadi Septemba 2024. Makusanyo hayo yalionyesha mwezi Julai hadi Septemba 2024…
Mbunge Viti Maalum Mariam Nyoka aunga mkono jitihada za Serikali atoa msaada wa mil.2/- zahanati ya Muhepai
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Ruvuma Mariam Madalu Nyoka, ametoa kiasi cha sh.milioni 2 pamoja na mashuka ya wagonjwa 15 katika zahanati ya kijiji cha Muhepai ililiyopo kata ya kilagano halmashauri ya Songea vijijini…
Mathias Canal achangia mil.5/- kupunguza changamoto zinazoikabili Shule ya Msingi Tutu Iramba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iramba Afisa Mtendaji Mkuu wa WazoHuru Media Ndg Mathias Canal amechangia jumla ya Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili shule ya Msingi Tutu iliyopo katika Kata ya New Kiomboi, Wilayani Iramba katika…
Dk Kisenge: Uvutaji wa sigara na unywaji wa pombe ni hatari kwa mjamzito
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimpa zawadi mwananchi aliyefika katika Taasisi hiyo kwaajili ya kufanya uchunguzi wa magonjwa moyo ikiwa ni muendelezo wa kuadhimisha siku ya moyo duniani inayoadhimishwa kila ifikapo tarehe 29…
Serikali kujenga kongani ya viwanda vya kuchakata mazao mikoa ya kusini
Na Mwandishi Wetu SERIKALI imesema iwe jua ama mvua itajenga Kongani ya viwanda vya kuchakata mazao ya mikoa ya kusini kwa gharama ya zaidi ya sh. Bilioni 300. Akizungumza katika mwendelezo wa ziara yake mkoani Mtwara Waziri wa Kilimo Mhe….
Nishati safi ya kupikia italeta mageuzi makubwa ulindaji wa mazingira – Mahundi
📌Asema hekta 469,000 za misitu zinateketea kwa shughuli za binadamu 📌Asisitiza Nishati Safi ya Kupikia si anasa Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Maryprisca Mahundi amesema nchi inakwenda kushuhudia mageuzi makubwa ya utunzaji wa mazingira kupitia Mkakati…