Rais Dkt. Samia awasili Zimbabwe kuhudhuria Mkutano wa SADC
JamhuriComments Off on Rais Dkt. Samia awasili Zimbabwe kuhudhuria Mkutano wa SADC
Matukio mbalimbali ya kuwasili kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Robert Mugabe, Harare nchini Zimbabwe kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaofanyika leo tarehe 31 Januari, 2025.