Category: MCHANGANYIKO
NIDA yapewa miezi miwili kusambaza vitambulisho 1.2 vilivyotengenezwa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa miezi kwa miwili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhakikisha vitambulisho milioni moja na laki mbili ambavyo tayari vimeshatengenezwa vinasambazwa na kuwafikia Wananchi walengwa. Waziri Bashungwa amesema hayo leo Disemba…
Watu 14 wafariki kwa ajali, saba wajeruhiwa Morogoro
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Watu 14 wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa baada ya gari kubwa la mizigo kugongana uso kwa uso na gari dogo la abiria majira ya saa 2 usiku eneo la Mikese Mkoani Morogoro. Kwa mujibu…
Ubunifu waiongezea Serikali mapato Pori la Akiba Uwanda
Hatua iliyochukuliwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) ya kuruhusu shughuli za uvuvi endelevu ambazo awali hazikuwa zinafanyika ndani ya Pori la Akiba Uwanda lililopo wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa imekuwa chanzo cha kupungua Kwa ujangili, ongezeko la…
Kurejea kwa Toto Afya Kadi mwanga mpya bima ya afya
Na WAF, Dodoma Waziri wa Afya Jenista Mhagama amesema kurejeshwa kwa Toto Afya Kadi kutaleta matumaini mapya na uelekeo thabiti wa Bima ya Afya hususan kwa kundi la watoto ambalo linahitaji uangalizi wa pekee. Mhagama aliyasema hayo juzi Jijini Dodoma,…
13 mbaroni tuhuma za miundombinu ya TANESCO na SGR, wamo raia wa Kenya na China
Na Magrethy Katengu, JamhuriMediaDar es Salaam JESHI la Polisi Kikosi Cha Reli kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama wamefanikiwa kuwakamata raia wa Tanzania , (Kenya /China) 13,kwa kosa la tuhuma za kuiba miundombinu ya reli ya SGR,…





