JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Watumishi wa Magereza Manyara wapatiwa majiko ya gesi

📌Mifumo ya uzalishaji wa bayogesi 126 mbioni kuanza 📌REA, Jeshi la Magereza kununua mashine 61 za mkaa mbadala 📌REA kuwajengea uwezo magereza uendelezaji miradi ya nishati safi 📌Mha. Saidy amewataka magereza kuwa mabalozi wa nishati safi Serikali imewapatia watumishi wa…

CCM Tabora wapongeza kuboreshwa huduma za afya

Na Allan Kitwe, Tabora CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Tabora kimeridhishwa na maboresho makubwa ya miundombinu ya afya katika zahanati, vituo vya afya na hospitali za wilaya zote za Mkoa huo hali iliyopelekea wananchi kuanza kupata huduma bora. Pongezi hizo…

Serikali yawarejesha Watanzania 42 kutoka nchini Iran na Israel

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuwarejesha salama nchini Watanzania 42 kutoka nchini Israel na Iran kufuatia vita vilivyokuwa vikiendelea baina ya mataifa hayo mawili. Akizungumza mara baada ya kuwapokea Watanzania hao kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa…

Serikali yazindua utekelezaji Mradi wa TACTIC wenye thamani ya Trilioni 1.1 kwa uboreshaji miji 11

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia Dodoma Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imezindua rasmi utekelezaji wa awamu ya kwanza ya mikataba ya Mpango wa Uboreshaji wa Miundombinu ya Miji (TACTIC), yenye thamani ya Dola za Marekani milioni 410 sawa na…

Waziri Mkuu aongoza kikao cha 13 cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya 2022

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza Kikao cha 13 cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka. 2022 kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Juni 25, 2025. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,…