JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

TAKUKURU Katavi yaokoa milioni 29.9/-

TAKUKURU Mkoa wa Katavi katika robo ya pili Oktoba hadi Desemba 2025 ilifanikiwa kuokoa jumla ya kiasi cha Shs 29,994,982 kupitia shughuli za uzuiaji rushwa, uchunguzi na mashitaka. Kati ya fedha hizo; Shs 12,000,000 zilirejeshwa baada ya kubainika kuwa mikopo…

Dk Jafo awakuna wananchi kwa kusimamia daraja la Kitomondo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kisarawe Wananchi wa Kata ya Mzenga na Mafizi wamepongeza hatua ya Mbunge wao, Dkt. Selemani Jafo, kusimamia binafsi ujenzi wa Daraja la Kitomondo hadi usiku, wakisema imeongeza kasi na uwajibikaji kwa mkandarasi. Akizungumza kwa niaba ya…

TAKUKURU Mwanza yadhibiti zaidi ya mil. 85/- malipo ya walimu 77

TAKUKURU Mkoa wa Mwanza imefanikiwa kudhibiti fedha kiasi cha Shilingi Millioni 85,006,000 fedha ambayo ni madai ya walimu wa shule za sekondari katika Halmashauri ya jiji la Mwanza, madai ambayo yalicheleweshwa kwa zaidi ya miezi sita. Mafanikio haya ni baada…

PPAA kuimarisha uwazi ,ufanisi usimamizi rufaa za zabuni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma KATIBU Mtendaji wa Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA), James Sando, amesema mamlaka hiyo imeendelea kuimarisha uwazi na ufanisi katika usimamizi wa rufaa za zabuni kwa kutumia mifumo ya kidijitali, hatua inayolenga kuongeza…

Wananchi Peramiho, Shiwinga kupiga kura kesho kuchagua mbunge, diwani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ruvuma Wapiga Kura 127,632 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura watashiriki katika uchaguzi wa kuchagua Mbunge katika Jimbo la Peramiho lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Songea, Mkoa wa Ruvuma na Kata ya Shiwinga iliyopo…