JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Waziri Silaa aielekeza TCRA kupiga kambi kiwanda cha kutengeneza simu Raddy Electronics Pwani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Waziri wa Mawasiliano, Teknolojia na Habari, Jerry Silaa (Mb), ameielekeza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupiga kambi katika kiwanda cha kutengeneza simu janja cha Raddy Electronics kilichopo Mkuranga, mkoani Pwani, kwa lengo la kufuatilia kwa…

Tusirudie kuwa na Bunge la aina hii

Na Manyerere Jackton, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika historia ya mabunge ya Tanzania, Bunge la 12 (2020 – 2025) litabaki kuwa moja ya mabunge yaliyozua mijadala mikubwa kuhusu hadhi, majukumu na ushawishi wake halisi katika kuisimamia serikali. Wapo wanaodiriki kusema…

Rais Samia ametekeleza utoaji wa haki za mtoto – Waziri Dk Gwajima

Na WMJJWM- Dar es Salaam Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanikiwa kutekeleza mipango na mikakati mbalimbali katika kutoa haki kwa…

PURA yachochea maendeleo kupitia gesi asilia, yaongeza juhudi ya usambazaji

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeeleza kuwa sekta ya gesi asilia imekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi, pamoja na kusaidia katika jitihada za kulinda mazingira nchini. Akizungumza…

Rais Samia atembelea majeruhi wa ajali Meatu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atembelea majeruhi wa ajali ya gari waliolazwa katika Hospitali ya Wilaya  Meatu mkoani Simiyu leo tarehe 17 Juni, 2025.