Category: MCHANGANYIKO
CHAUMMA yamteua Salumu Mwalimu kuwa mgombea kiti cha urais
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimemteua Salum Mwalimu Jumaa kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Uamuzi hupo umetangazwa muda mfupi uliopita kwenye Mkutano Mkuu wa Chaumma unaoendelea kwenye ukumbi wa…
World Vegetable Center kuleta mageuzi sekta ya kilimo cha mbogamboga na matunda
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Kituo cha Utafiti na Uendelezaji wa Kilimo cha Mbogamboga Kanda ya Mashariki na Kusini Mwa Afrika (World Vegetable Center) kilichopo Tengeru, Arusha, kimesema kuwa kitaendelea kuongoza juhudi za kuleta mageuzi katika sekta ya kilimo cha…
UWT Tabora yataka washindi kura za maoni kuwa watulivu
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora WANAWAKE waliofanya vizuri kwenye mchakato wa kura za maoni za udiwani na ubunge wa viti maalumu kupitia Umoja wa Wanawake (UWT) wametakiwa kuwa watulivu kwa kuwa uteuzi wa mwisho utafanywa na vikao vya ngazi za…
Kampeni uanzishwaji madarasa ya “EWW’ yazinduliwa
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora TAASISI ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) imezindua Kampeni ya uanzishaji na uimarishaji madarasa ya kisomo cha Elimu ya Watu Wazima (EWW) ambayo itaanza kutekelezwa katika halmashauri na Mikoa yote hapa nchini. Hafla ya uzinduzi…
Dk Jingu aitaka bodi ya mitihani vyuo vya Maendeleo ya Jamii kuzingatia weledi
Na WMJJWM – Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu ameitaka Bodi ya Mitihani ya Vyuo vya Maendeleo na Maendeleo ya Jamii ufundi kuhakikisha weledi unazingatiwa katika mitihani ya wanafunzi…