JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Wizara ya Nishati yawahamasisha watoto kuwa mabalozi wa nishati safi ya kupikia

Watoto wameaswa kuwa mabalozi wa matumizi ya nishati safi ya kupikia ili kuunga mkono juhudi za Serikali za kulinda mazingira, kupunguza athari za kiafya zitokanazo na matumizi ya nishati zisizo safi na kufanikisha lengo la Taifa la kuhakikisha asilimia 80…

Salome : Wananchi wanaopitiwa na miundombinu ya umeme waunganishwe huduma kwa sh 27,000

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mara Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeelekeza kuwa wananchi wote ambao wamepitiwa na miundombinu ya umeme lakini bado…

Mchechu: Masoko ya mitaji kufungua fursa za uchumi

Na Mwandishi wa OTR Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, ametoa wito kwa nchi za Afrika kuimarisha ushirikiano na ujumuishaji wa masoko ya mitaji, akisema kuwa masoko imara na yaliyounganishwa ndiyo msingi wa kuhamasisha uwekezaji wa muda mrefu, kugharamia miradi…

Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi Hospitali ya Butiama Kizurira Nyerere

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ameweka jiwe la msingi la Hospitali ya Wilaya ya Butiama Kizurira Nyerere wilayani Butiama, mkoani Mara, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Hospitali hiyo imejengwa kwa lengo la…

JET highlights critical role of CSOs in combating desrtification ahead of UNCCD COP17

Dodoma, Tanzania The Executive Director of the Journalists’ Environmental Association of Tanzania (JET), John Chikomo, has underscored the pivotal role of civil society organizations (CSOs) in combating desertification and land degradation, saying their contribution is essential to achieving Tanzania’s environmental…

Tanzanite yang’aa Sabasaba wananchi wavutiwa na upekee wake

Waiomba Serikali kuendelea kutoa elimu kuhusu madini na fursa za uwekezaji 📍DAR ES SALAAM Madini ya Tanzanite yameendelea kuwa kivutio kikubwa katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), huku mamia ya wananchi wakifurika katika…