Category: MCHANGANYIKO
Kongole NECTA kwa mpango kupanda miti 150,000 kutunza mazingira
Na Dk. Reubeni Lumbagala, JamhiriMedia, Dodoma Utunzaji wa mazingira ni jukumu letu sote. Uwe mtoto, kijana, mtu mzima au mzee. Uwe mwanamke au mwanamme, uwe msomi au usiwe msomi, suala la utunzaji mazingira linakuhusu. Faida za utunzaji mazingira zinatunufaisha sote….
Mrajis aagiza matumizi ya mizani za kidigitali kulinda wakulima
Mrajis wa Vyama vya Ushirika, Dkt. Benson Ndiege amevitaka Vyama vya Ushirika vya Mazao nchini kutumia mizani za kidigitali katika kupima mazao ya wakulima ili kuondoa udanganyifu na kumlinda mkulima. Mrajis ametoa maelekezo hayo kupitia barua ya tarehe 13 Machi,…
Kamanda Muliro awataka Polisi kutekeleza majukumu yao ya msingi
Na Aziza Nangwa, Jamhuri Media, Dar es Salaam Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro, amewataka askari polisi kutekeleza majukumu yao ya msingi ya kusimamia sheria na kudumisha usalama wa…
Mgodi wa kihistoria wa Niobium kujengwa mkoani Mbeya
▪️Ni Mradi wa Panda Hill wa Niobium utakaogharimu TSh 700 bn ▪️Ni uwekezaji unaohusisha Kampuni ya Denham ya Marekani. ▪️Rais Samia apongezwa kufanikisha mradi wa uchimbaji Niobium ▪️Kiwanda cha kuyeyusha ferroniobium kitakachojengwa Tanzania kitakuwa cha nne duniani ▪️Waziri Mavunde asema…
OASIS yaipongeza TRA kwa maboresho ya mifumo ya kiteknolojia ulipaji kodi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMediaDar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya OASIS Financial Services Ltd, Bw. Stambuli Myovela, ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kufanya maboresho makubwa ya mifumo ya kiteknolojia katika ukusanyaji na ulipaji wa kodi, hatua iliyorahisisha huduma…
Waziri Kombo abainisha mafanikio na vipaumbele vya Wizara kwa Kamati ya NUU
Na Mwandishi Wetu Waziri Kwa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa mwaka 2025/2026 na mpango wa bajeti wa mwaka wa Fedha 2026/2027 kwa Kamati ya…





