Category: MCHANGANYIKO
TPA yalenga ufanisi, huduma bora Bandari ya Dar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema sababu ya msingi ya kutekeleza kwa gharama kubwa katika bandari ya Dar es Salaam ni huduma bora kwa wateja wa bandari. Mkurugenzi Mkuu wa TPA’…
Brigedia Jenerali Msakulo azindua mabweni ya shule ya Innovate Mlandizi
MLANDIZI, PWANI BRIGEDIA Jenerali David Msakulo amewataka wazazi kushirikiana kwa karibu na walimu na walezi katika malezi ya watoto ili kuwajenga kuwa viongozi bora wa taifa. Brigedia Jenerali Msakulo alitoa kauli hiyo wakati wa mahafali ya wanafunzi wa darasa la…
Taasisi za michezo zatakiwa kutumia miliki ubunifu kudhibiti uharamia
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umezitaka Taasisi, Mashirikisho na Vyama mbalimbali vya michezo nchini kutumia Miliki Ubunifu kuhakikisha inadhibiti uharamia unaofanyika katika sekta michezo nchini ili kukuza na kuimarisha sekta hiyo. Wito huo umetolewa leo tarehe 06…
Elimu ya udhibiti yawafikia wenye ulemavu Tabora
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi, leo, tarehe 6/10/2026, imekutana na wanachama wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania…
Nyongo: Kiwanda cha Vilipuzi Kisrawe kupunguza uagizaji nje
Na Mwamvua Mwinyi, Kisarawe MKUU wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo, amesema uwepo wa kiwanda cha baruti na vilipuzi cha Ideal Detonators Tanzania Limited wilayani Kisarawe utasaidia kupunguza gharama na utegemezi wa uagizaji wa bidhaa hizo kutoka nje ya nchi….





