Category: MCHANGANYIKO
Mipango mbioni kuanzisha kituo cha Kimataifa cha huduma za kifedha hapa nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Baraza la Taifa la Biashara ( TNBC) imesema kuwa mipango ipo mbioni kuanzisha Kituo cha Kimataifa cha Kuduma za kifedha ( IFC) hapa nchini ili kuvutia uwekezaji wa fedha na mitaji…
Vijana Muheza walivyotoa kicheko kwa kamati ya Bunge
*Waziri Nanauka apewa Maua yake *Mali Hai waiheshimisha Muheza Na Byarugaba Innocent,ORMV Ni takribani umbali wa kilometa 510 kwa mwendo wa gari Km 80 kwa saa unafikisha saa 11 njiani kutoka Dodoma Makao Makuu ya Serikali kufika Tanga.Ni safari iliyopambwa…
Sayansi na teknolojia kupewa kipaumbele ushirikiano UDSM na Chuo kikuu cha Vienna
Na Mwandishi Wetu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza kuimarishwa kwa ushirikiano kati ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Chuo Kikuu cha Vienna katika nyanja za sayansi na teknolojia, ikiwemo nishati ya jua, ili kuzalisha wataalamu wenye…
Mgodi wa kihistoria wa Niobium kujengwa Mbeya
Na Mwandishi wa OMH, Mbeya Tanzania imepiga hatua muhimu katika kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na Marekani baada ya Serikali na Panda Hill Tanzania Limited kusaini makubaliano ya kuendeleza Mradi wa Niobium wa Panda Hill—hatua inayolenga kuifanya Mbeya kuwa kitovu cha…





