Category: MCHANGANYIKO
HESLB, BoT wazindua programu ya elimu ya fedha kwa wanafunzi
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Benki Kuu ya Tanzania (BOT), zimezindua rasmi utekelezaji wa makubaliano ya ushirikiano yatakayowezesha utoaji wa elimu ya fedha kwa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini baada ya…
Tanzania yaahidi kuimarisha huduma za saratani kufuatia ripoti ya uhakiki wa Misheni ya imPACT 2025
Na John Mapepele, Geneva, Uswisi Tanzania imethibitisha tena dhamira yake ya kuimarisha huduma za kinga, uchunguzi, tiba na uangalizi wa saratani kufuatia kutolewa kwa Ripoti ya Uhakiki wa Misheni ya imPACT 2025, huku Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, akiahidi kuimarisha…
TANESCO yatakiwa kubuni teknolojia mpya kuboresha huduma kwa wateja
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, ameielekeza TANESCO kuendelea kufanya tafiti na kubuni teknolojia mpya zitakazorahisisha utoaji wa huduma kwa wateja nchini. Amesema dunia inabadilika kwa kasi kubwa hivyo Shirika hilo linapaswa kuendana na mabadiliko ya teknolojia ili kuongeza…
Vyama sita vya ukombozi Kusini mwa Afrika vyaanza mafunzo Kibaha
Hafla ya ufunguzi wa mafunzo ya vyama sita rafiki vya ukombozi kutoka kusini mwa Afrika imefanyika leo katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere Leadership School. Vyama vinavyoshiriki katika mafunzo hayo ni Chama Cha Mapinduzi (CCM), ZANU-PF, African National…
Dira ya Taifa ya 2050 kuikijanisha Tanzania
Na Mwanandishi Wetu, Morogoro WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mhandisi Hamad Masauni amesema Usimamizi na uhifadhi wa mazingira hauwezi kufanikiwa kwa kauli au sera peke yake, bali kwa vitendo vinavyoonekana katika ngazi zote ikiwemo shughuli za…
Dk Mwigulu amuaga Mkurugenzi Mkazi wa WB
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Mei 17, 2026 ameshiriki katika hafla ya kumuaga aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Kanda ya Malawi, Tanzania, Zambia na Zimbabwe, Nathan Belete, iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam….





